by Elizabeth Jumwa Munyaya
Copyright © 2022
Kithabu cha Msingi cha Sarufi za Kigiryama
cha anafunzi a lugha ya Kigiryama
Kidzandhikwa ni
Elizabeth Jumwa Munyaya
@2022
Uthongoyeri
Sarufi ni shomo ra kapindi sana. Hangu wakathi wa Plato miaka 2400 idziogoma hatha vivi, anafunzi dhuniani kosi manaona ni sawa mashome sarufi; muundo wa maneno na sentensi kwa sababu ujuzi wa kushoma na kundhika ndo alama mahususi kwa atu marioshoma.
Shomo kwa shomo, kithabu kiki kinamboza mashomo ga msingi kahi za aina 8 za sarufi- madzina, vihendo, vivumishi, viwakilishi, viunganishi maneno mangine ga Kigiryama na sentensi.
Anafunzi osi a Kigiryama mario ni Agiryama asli na pia mario manadzifundisha Kigiryama here lugha ya hiri, mandafaidhika na kithabu kiki.
Funa muvoyera madzo kahi za harakathi zenu za kumamanya Kigiryama.
- Sarufi ni noni?
Azungumzaji aa lugha kwa kawaidha nikukala na ujuzi si thu kuhusu maneno ga lugha ela pia kuhusu utunzi na muundo wa maneno. Kwa vizho, kwa mfano, azungumzaji aa Kigiryama manamanya kwamba maneno kahi za (1 a) ni maneno kahi za lugha yao na (1b) sogo.
1a) kuro aza, ndhika henza
1b) svan pensare katav mile
Sarufi ni mfumo mzima na muundo wa lugha au wa lugha kwa ujumla, kwa kawaida huhalirwa kukala ni sintaksia na mofolojia (hamwenga na uambishi) na wakathi mwingine pia fonolojia na semantiki.
Sarufi ni uwakilishi rasmi wa kile ambacho mzungumzaji lazima ajue kuhusu lugha yake, na kwa hivyo lazima, iakisi katika mambo fulani ya mtindo kama yale yaliyo hapo juu, miongoni mwa mengine. Kwa hivyo dhana imefanywa kwa ujumla kabisa kwamba sarufi lazima iwe na orodha ya mofimu pamoja na kanuni za uundaji wa maneno au mofolojia. Tabia ya kanuni hizi na uhusiano wao na sehemu nyingine za sarufi, hasa, kwa kanuni za sintaksia na fonolojia, imechunguzwa kwa kiasi kidogo sana. Ni maswali haya ambayo yanachukua usikivu wangu katika kile kinachofuata, na ingawa siko katika nafasi ya kudai kwamba nimefaulu kufikia upenyo katika eneo hili, natumai kuwa nimeunda muundo wa kutosha wa kuwezesha majadiliano na. kuvutia wengine katika utafiti juu ya mada hii.
Kulingana na Encyclopedia Britannica, sarufi inaeleza kanuni za lugha zirizozinaloongoza sauti, maneno, sentensi, na vipengele vingine, hamwenga na kutsanganya na kufasiri. Neno sarufi pia rinaashiria uchunguzi wa vipengele vivi zha dhanaii au kithabu kinachowasilisha sheria zizi. Kwa maana iliyozuiliwa, neno riri rinarejelea tu uchunguzi wa sentensi na muundo wa maneno (sintaksia na mofolojia), bila kujumuisha msamiati na matamshi.
Kithabu kiki kinalenga kubainisha na kuzichambua kanuni zizo kahi za lugha ya Kigiryama zirizo zinathawala sauti za maneno, sentensi na vipengele vingine kahi za lugha ii.
Haha hana wira wa ahoto kuhusu aina nane za
sarufi ya Kigiryama. Inakupa azo ra sarufi ni noni
na inahusu. Ushome na ukumbukire.
Kila dzina rinaifwa nomino,
here shamba na chemchemi, barabara na mudzi.
Kahi za nafasi ya nomino kiwakilishi kinaima,
Iye na iye manadima kupiga makofi.
Kivumishi huelezera kitu, here fimbo ya utsai hedu pehe ya harusi.
Vitenzi vinji humaanisha kihendo, jambo ririrohendwa, Kushoma na kundhika, kuruka na kuchimbira.
Jinsi mambo ganazhohendeka vielezi huambira, Kwa haraka, porepore, vii, vidzo.
Kihusishi kinanyesa uhusiano, Kama mitaani au kituoni.
Viunganishi vinaunganisha, kwa ngira nyinji, Sentensi, maneno, au kishazi na kishazi. Mwitho uo unapiga lonzo, “Sirikiza! Jambo ra mshangao lazima unithuwee!”
2. Herufi Bomu
Herufi bomu zinaifwa herufi bomu thu
A B C D E F G H I J K L M
N O P Q R S T U V W X Y Z
Herufi bomu zinahumirwa wakathi wani?
- Humira herufi bomu kwa herufi ya kwanza ya kila sentensi:-
Ye kuro anarira.
Nzo kuno!
- Humira herufi bomu na madzina ga atu:-
Nyevu, Karisa, Kadzo, Charo, Sidi, Ngumbao.
- Humira herufi bomu na madzina ga kutu:-
Kaloleni, Bamba, Ganze, Mombasa, Malindi.
- Humira herufi bomu na siku za sherehe, siku za wiki na miezi ya mwaka:-Kirisimasi, Jamuhuri, Mwaka musha, Jumamosi, Jumapili, Jumatatu, Jumanne, Jumatato, Lahamisi, Jumaa, Januari, Februari ,Machi ,Mei, Agosti November, Disemba.
Jaribio ra kwanza.
Ndhika katsora tsini ya yo herufi iriyo niikale bomu. Gonya ndhika yo herufi sawa ho dzuluze.
- sidi na kadhenge ni asena abomu sana.
- fundakwenda malindi wakathi wa likizo.
- charo anakala na haweye nairobi.
- kuna sherehe bomu ya kufunga mwaka ii jumapili.
- januari ni mwezi wa kwanza kahi za mwaka.
Jaribio ra hiri
Lola zho vibao virizho hano tsini. Vina makosa gogosi? Ndhika go madzina karakara.
Published: Feb 4, 2022
Latest Revision: Feb 4, 2022
Ourboox Unique Identifier: OB-1275677
Copyright © 2022